| MWANAMKE BOMBA | Lucy Wanjeri - Huunda fanicha kutokana na matairi kuukuu
Wengi walioajiriwa hutegemea ajira hizo kama njia ya pekee ya kujikimu maishani lakini wengine huwa na biashara za kandokando kujiongezea mapato yao.
Katika eneo la maziwa huko Kahawa West nilikutana na mwanadada aliyegeukia biashara ya kuunda fanicha kutokana na matairi yaliyotumika, biashara ambayo imemkuza kwa kiwango cha kutotamani kuajiriwa tena. Je, ilikuwaje akaacha ajira na kugeukia sekta ya juakali.
Hii hapa simulizi yake katika makala yetu ya mwanamke bomba wiki hii.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
http://citizentv.co.ke
https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya