#Worldmedia3. Tazama Hadithi ya sungura shairi la sizitaki mbichi hizi,simulizi za kale ,
Simulizi za kale ,hadithi ya sungura maarufu kama Sizitaki Mbichi Hizi. Hivi sasa ikiwa katika mtindo wa digital book,Kupata kitabu cha kidigitali ambacho unaweza uka peruzi na kusoma maandishi bonyeza link hii https://www.dropbox.com/s/n2ktn6y5ccq8zc1/sizitaki%20mbichi%20hizi.exe?dl=0
Chukua kitabu hiki bure kabisa kwa ajili ya mwanao.Pia kama unatopic za shule na ungependa ziwekwe katika mfumo huu wasiliana nasi tutakufanyia bure kabisa.