Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC imapata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo Machi 7, 2020 kwenye uwanja wa Uhuru. Magoli ya KMC yamefungwa na Hassan Kabunda na Abdul Hillary.
Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
â–º https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz