Hello wapenzi style hii ni kwa ajili ya nywele za aina zote, fupi ,ndefu, zenye dawa ,zisizo na dawa
Unaweza kumbana biharusi au brides maids au kwa shughuli yeyote
Usikose pia kuangalia video zangu zingine za nywele na makeup
Kubana nywele fupi hakuna matata style
https://youtu.be/XXuv7E27kqE
Kubana nywele fupi isiyo na dawa mkia wa farasi
https://youtu.be/Dkdp3YzUTrE
Makeup kwa ngozi yenye mafuta
https://youtu.be/pIrM61Y6X4w
Please follow my instagram pia for more beauty tips n styles
Instagram ; Vivianatz.official
For business and sponsorship contact
[email protected]
Mobile : +255653795977