MWANAMKE BOMBA | Mary Wanjiru 'Shiro' alikuwa msichana randaranda
Kwa miaka zaidi ya kumi Mary Wanjiru ama ukipenda Shiroo alikuwa anajulikana tu miongoni mwa familia za kurandaranda mitaani hapa Nairobi na pengine wengine huenda walikutana naye akiombaomba katikati ya jiji. Hata hivyo kwa kuwa wanasema ya jana sio ya leo na mgaagaa na upwa hali wali mkavu, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 37 sasa ni mtu tofauti kabisa, kwani mbali na kurebishwa tabia amekuwa mama wa familia anayoikimu kwa hali na mali na pia anatoa ajira kwa vijana wengi wa Mathare kupitia kampuni yake ya kupika chakula.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
http://citizentv.co.ke
https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya