MWANAMKE BOMBA | Veronica Wanjiru, Ni Mwendeshaji Lori
Safari za masafa marefu zimekuwa sehemu ya maisha yake. kwa miaka 12 sasa anaifanya kazi hiyo ya kusafirisha mizigo kutoka humu nchini hadi mataifa jirani ya afrika mashiriki akiendesha malori makubwa kazi ambayo ni nadra kufanywa na wanawake.kunfahamu vyema, Makinika kwa simulizi ya Mwanamke huyo bomba ambaye ni dereva mahiri nguzo yake kuu ikiwa kuipenda kazi yake na kujiamini. #MwanamkeBomba #CitizenNipashe #MwanahamisiHamadi
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
http://citizentv.co.ke
https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya