858- Hukumu Ya Kumuita Kafiri Kuwa Ni Rafiki! - ´Allaamah al-Fawzaan
Hukumu Ya Kumuita Kafiri Kuwa Ni Rafiki!
Swali:
Ipi hukmu ya neno kafiri kumwambia kafiri?
´Allaamah al-Fawzaan:
Haijuzu. Haijuzu kumwambia kafiri rafiki. Rafiki maana yake ni kipenzi. Haijuzu hili.
Chanzo: http://www.alfawzan.af.org.sa/alldroos?tid_1=252