Edson Mwasabwite - Ni Kwa Neema Na Rehema (Gospel Song)
#Mwasabwite#SubscribeNow
Nina kila Sababu ya Kumshukuru Mungu Kufika hapa nilipo WIMBO huu Ni ushuhuda wa maisha yangu kiukweli mpaka hapa nimefika ni kwa Neema na Rehema za MUNGU
Huu Wimbo ukafanyike Baraka na kumtukuza Mungu sababu kila mtu anatoka Mbali.
Kwa mawasiliano zaidi
+255 717 703415
Gmail. [email protected]